a
2Nya 28:6
;
Hos 1:11
;
Gal 3:28
;
Yer 3:18
;
Eze 16:22
;
37:16-17
,
22
Isaiah 11:13
13
a
Wivu wa Efraimu utatoweka,
na adui wa Yuda watakatiliwa mbali;
Efraimu hatamwonea Yuda wivu,
wala Yuda hatakuwa na uadui na Efraimu.
Copyright information for
SwhNEN